Pages

Sunday, November 15, 2015

King Dee 255 ( David Mayunga ) mwanamuziki na mtangazaji akiimba wimbo wake wa Tonight wakati akihojiwa na mtangazaji wa rfi radio France internacionale kuhusu kazi zake za muziki kwa ujumla kwenye kipindi cha makala ya Muziki Ijumaa siku ya tarehe 13 November 2015

No comments:

Post a Comment