Yemi Alade aurudimba wimbo wake Na Gode kwa kiswahili
Msanii wa kike kutoka nchini NigeriaYemi Alade Mkali wa wimbo I'm looking for my Johnny video iliyotazamwa zaidi ya mara milioni 34 kwenye mtandao wa youtube,ameamua kuurudia wimbo wake Na Gode (Ahsante ) kwa lugha ya kiswahili ili kuwarahisishia watu wa Afrika mashariki kuelewa maana ya wimbo huo kwa ufasaha aliouimba kwa kiingereza na lugha ya ki Nigeria, hii inadhihirisha ni jinsi gani kiswahili kinazidi kukua barani Afrika na duniani kwa ujumla. ....tazama na sikiliza video ya version ya kiswahili hapa chini ya wimbo Na Gode yenye maana ya ''Ahsante"
No comments:
Post a Comment