Sunday, December 27, 2015

Yemi Alade aurudimba wimbo wake Na Gode kwa kiswahili

Msanii wa kike kutoka nchini NigeriaYemi Alade  Mkali wa wimbo I'm looking for my Johnny video iliyotazamwa zaidi ya mara milioni 34 kwenye mtandao wa youtube,ameamua kuurudia wimbo wake Na Gode (Ahsante ) kwa lugha ya kiswahili ili kuwarahisishia watu wa Afrika mashariki kuelewa maana ya wimbo huo kwa ufasaha aliouimba kwa kiingereza na lugha ya ki Nigeria, hii inadhihirisha ni jinsi gani kiswahili kinazidi kukua barani Afrika na duniani kwa ujumla. ....tazama na sikiliza video ya version ya kiswahili hapa chini ya wimbo Na Gode yenye maana ya ''Ahsante"

Monday, December 7, 2015

Belle 9 Gone international level

The Bongo flavour R&B singer from Morogoro Tanzania Belle 9 (Abedinego Damian ) has proved positively that he is the Best artist after enrolling his music carrier worldwide after releasing a recently track Shauri zao and the currently one goes by the title Burger Movie Selfie being played in big international TV Channels. .....
Watch full video here 👇